Wafanyabiashara samaki Mbeya walia na Mkuu wa Mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla.
Wafanyabiashara wa Samaki wabichi Mkoani Mbeya wameilalamikia serikali ya mkoa huo kutangaza kuwa samaki wabichi wanaouzwa kwenye maduka yaliyopo Jijini humo kuwa wana sumu.