Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, Wilbroad Mtafungwa.
Watu 14 wamekatwa kwa tuhuma za ujambazi na unyang'anyi wa kutumia Silaha Mkoani Kilimanjaro akiwemo Mwanafunzi wa kidato cha nne pamoja na Bibi Kikongwe aliekuwa anatumiwa na majambazi hao.