Wanawake wajasiriamali kupewa mikopo nafuu Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi,NEEC limeanzisha mkakati maalumu wa utoaji wa mikopo kwa wanawake kupitia taasisi ya fedha kupitia vikundi vya Vicoba na Saccos. Read more about Wanawake wajasiriamali kupewa mikopo nafuu