Taasisi za kifedha igeni Exim Bank kusaidia jamii
Taasisi za kifedha nchini zimeshuriwa kutumia sehemu ya faida wanayopata kwa kuboresha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, elimu maji na barabara ili kuboresha maisha ya wananchi ambao ndiyo wateja wa baadaye wa taasisi hizo.