Watu 11 wauawa kwa risasi katika baa Afrika Kusini Msemaji wa polisi Brigedia Athlenda Mathe amesema watu watatu wenye silaha wasiojulikana waliingia katika baa hiyo ambapo kundi la watu walikuwa wakinywa vinywaji na kufyatua risasi ovyo. Read more about Watu 11 wauawa kwa risasi katika baa Afrika Kusini