Wanafunzi hewa wamechelewesha mikopo-Jaffo
Serikali ya Tanzania imesema kuwa ucheleweshaji wa mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu katika baadhi ya vyuo umetokana na kufanyika uhakiki wa wanafunzi kwa kuwa na uwepo wa wanafunzi hewa ambao wananufaika na mikopo hiyo.