Rais Magufuli ahuzunishwa na kifo cha Shelukindo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga Beatrice Shelukindo kilichotokea tarehe 02 Julai, 2016 Arusha.

