Sakata la rushwa BMT na TFF, Yanga yafika TAKUKURU
Baada ya Klabu ya Yanga kuwashutumu baadhi ya viongozi wa BMT na TFF kujihusisha na rushwa katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa Klabu ya Yanga,uongozi wa Klabu hiyo umepeleka vielelezo Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU.