Mhe. Tundu Lissu asomewa mashtaka 5 ya uchochezi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashitaka 2 kati ya 5 yaliyokuwa yakimkabili mbunge wa Singida Mashariki na wenzake watatu baada ya mashtaka hayo kukosa idhini ya kimaandishi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP).