Dkt. Jim ateuliwa kuwa mhariri mtendaji TSN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Jim James Yonazi kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Read more about Dkt. Jim ateuliwa kuwa mhariri mtendaji TSN