Kapombe aanza kupewa dakika chache za kumjenga Beki kisiki wa kulia wa Azam FC Shomari Kapombe, ameandaliwa dakika maalum za kucheza kwenye mechi za kujipimba nguvu, ili kurejea kuwa fit, baada ya kuumwa kwa miezi 4. Read more about Kapombe aanza kupewa dakika chache za kumjenga