Sikia mkwara huu wa Banana Zorro Mkali kunako muziki wa kizazi kipya, Banana Zoro amejigamba kuwa hahofii kuimba bila kutumia vyombo kwani uwezo wake kwenye muziki ni mkubwa haswaa. Read more about Sikia mkwara huu wa Banana Zorro