Mafanikio hayapo kwenye muziki tu- Diamond
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platinumz amesema mafanikio hayapo katika muziki tuu bali kila mtu anatakiwa kuangalia mahali ambapo pana upungufu na kujitahidi kufanyia kazi hilo eneo ndipo ataweza kutoka kimaisha.

