Ben Pol: Hatuna chuki, tunashindana Ben Pol Mkali wa muziki wa Rn'B nchini Tanzania, Ben Pol amefunguka kuwa hana kinyongo na wasanii wenzake ambao wanafanya muziki unao endana bali wanashindana na ndiyo maana inaathiri kazi wanazo fanya pamoja. Read more about Ben Pol: Hatuna chuki, tunashindana