Muziki wangu nataka ufike dunia yote - M Rap Lion Msanii M Rap Lion ambaye pia ni rapper kwenye game ya muziki wa Bongo, amesema ana malengo makubwa katika muziki wake, ikiwemo kuutangaza dunia nzima bila kujali vikwazo vingine. Read more about Muziki wangu nataka ufike dunia yote - M Rap Lion