Wanawake wakipata kikubwa wanawehuka - Timbulo
Msanii wa muziki wa bongo fleva Timbulo amefunguka na kusema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wamezoea kupata kidogo katika maisha yao ya kila siku ndiyo maana inapotokea wamepata kikubwa wanawehuka na kuvurugika.