Alikiba aahidi kufanya kazi na 'madansa' #Dance100 Msanii Ali Kiba ambaye ameshiriki kama jaji mgeni Dance100% Msanii wa Bongo Fleva Alikiba ameahidi kuchukua baadhi ya vijana walioshiriki hatua ya fainali ya shindano la Dance100% 2016. Read more about Alikiba aahidi kufanya kazi na 'madansa' #Dance100