EATV AWARDS siyo jambo la kudharau - Barnaba Msanii Baranaba Elias amewataka wasanii wenzake kutodharau zoezi la uchukuaji fomu ili kushiriki EATV AWARDS, na kusema ni kitu cha msingi sana kwao na kitafanya muziki wao uzidi kukua. Read more about EATV AWARDS siyo jambo la kudharau - Barnaba