Kutowatumia wanasheria, chanzo cha migogoro

Kaleb Gamaya - Katibu Mkuu TLS

Migogoro mingi ya kisheria katika masuala ya ardhi, ulipaji kodi, biashara, ajira, mirathi na ndoa kwa asilimia 80 huchangiwa na ukosefu wa elimu juu ya masuala ya kisheria na kitendo cha wananchi kutowahusisha wanasheria kabla ya kuingia makubaliano

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS