Serikali ya Burundi yatakiwa kuwalinda raia wake

Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza

Kamati ya Umoja wa Mataifa ya kutokomeza ubaguzi wa rangi imeitaka serikali ya Burundi kuchukua hatua ili kuwalinda raia ikiwemo kuruhusu mara moja kikosi cha polisi wa Umoja wa Mataifa kufuatilia usalama na hali ya haki za binadamu nchini humo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS