Dunia yatahadharishwa kuhusu tishio la tsunami

Mawimbi ya Tsunami

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa upunguzaji wa hatari ya majanga Robert Glasser, ameonya dhidi ya kulegeza hatua, wakati huu ambapo kuna tishio la kimataifa la tsunami.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS