Ujerumani yataka wahamiaji warudishwe Afrika
Gazeti la Ujerumani la Welt am Sonntag limeripoti kuwa wizara ya mambo ya ndani ya Ujerumani inataka wahamiaji kuzuiwa kufika katika nchi za Ulaya kupitia Bahari ya Mediteran, kwa kuwachukua baharini na kuwarejesha Afrika.