Polisi nchini Zimbabwe yatawanya maandamano

Polisi nchini Zimbabwe wakiwatawanya waandamanaji wanaopinga hali mbaya ya uchumi.

Polisi wa kutuliza ghasia nchini Zimbabwe wamerusha mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wa upinzani katikati ya mji wa Zvishavane.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS