Siwezi kufanya 'Playback' - Country Boy
Rapa Country Boy amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amekua kisanaa hivyo hayuko tayari kufanya 'Playback' katika show zake na kwamba sasa anafanya muziki 'live' na band yake na ameamua kufanya hivyo kuwaonesha watu kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo.