Madereva 62 UDA-RT wachukuliwa hatua za kinidhamu Basi la mwendo wa haraka Jumla ya madereva 62 wanaoendesha mabasi yaendayo haraka (UDART) wamechukuliwa hatua za kinidhamu kwa sababu ya kukiuka sheria za barabarani. Read more about Madereva 62 UDA-RT wachukuliwa hatua za kinidhamu