Wadau kutoa maoni muswada wa msaada wa kisheria
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wadau wa sheria na wananchi kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya muswada wa sheria ya kusimamia na kuratibu utoaji wa huduma ya msaada wa kisheria na kutambua wasaidizi wa kisheria,