Askari 8 watumbuliwa kwa kusababisha ajali

Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim

Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani kimewavua nyadhfa zao mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Tabora Shida Machumu, na mkuu wa usalama barabarani wilaya ya Nzega Thomasi Ngecha kwa kushindwa kutekeleza mkakati wa kupuguza ajali za barabarani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS