Kumbe Mtanga naye bingwa wa Red-Carpet..!!?
Msanii mahiri wa vichekesho kutoka kundi la Ze Comedy la EATV, Mtanga ameudhihirishia ulimwengu kuwa naye ni mahiri katika masuala ya mavazi na muonekano baada ya kuongoza moja ya Red-Carpet katika Tuzo za EATV.

