Magufuli apongezwa kwa kuboresha huduma Muhimbili

Rais Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa ktk Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS