Maambukizi ya UKIMWI kwa vijana yaongezeka Z'bar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Abood

Tanzania leo inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Abood amewataka wananchi visiwani humo kuendelea kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS