Simba na Yanga hakuna tena kuchekana Kikosi cha Azam kilichotwaa ubingwa Klabu ya Azam FC imefanikiwa rasmi kushona midomo ya mashabiki wa watani wa jadi Simba na Yanga baada ya leo kuipiga Simba bao 1-0 katika fainali ya Kombe la Mapinduzi na kutwaa kombe hilo kwa mara tatu. Read more about Simba na Yanga hakuna tena kuchekana