Ray Kigosi afunguka juu ya mimba ya Chuchu Hans. Zikiwa zimebaki siku kadhaa msanii wa filamu nchini Chuchu Hans kujifungua msanii Ray Kigosi amefunguka na kumuomba Mungu mpenzi wake huyo ajifungue salama. Read more about Ray Kigosi afunguka juu ya mimba ya Chuchu Hans.