Tundu Lissu ahamishiwa gereza la Ukonga

Tundu Lissu

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amehamishiwa katika gereza la Ukonga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS