Familia yaisoma namba kwa mkataba wa Q Chillah

Q Chillah

Familia ya msanii wa bongo fleva Q Chilla wameamua kuingilia kati mkataba wa msanii huyo na kusema mkataba huo unamfanya aishi maisha magumu kiasi cha kushindwa kuchangia mambo yakifamilia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS