YANGA YAKAA KILELENI Yanga SC yaichapa Mwadui FC mabao 2-0 katika dimba la Taifa Dar es Salaam, yafikisha pointi 46, na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara ikiipiku Simba kwa pointi 1 Read more about YANGA YAKAA KILELENI