Federer afanya kweli Australian Open Roger Federer baada ya kukabidhiwa taji lake Roger Federer ametwaa taji lake la18 la Grand Slam, na la kwanza baada ya miaka 5 kupita, kwa kumchapa Rafael Nadal kwa jumla ya seti tano kwenye fainali ya mashindano ya wazi ya Australia hii leo. Read more about Federer afanya kweli Australian Open