Roma ashtukia chimbo jipya la hip hop Bongo Roma Rapa Roma Mkatoliki amefunguka ya moyoni juu ya kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kusema ni kipindi ambacho kwa namna tofauti kimekuwa kikitoa nafasi kubwa sana kwa wasanii wa rap Tanzania. Read more about Roma ashtukia chimbo jipya la hip hop Bongo