Mkuu wa upelelezi auawa kwa risasi Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Kibiti, mkoa wa Pwani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Peter Kubezya wakati wa uhai wake. Watu watatu wameuawa katika tukio la kiuhalifu akiwamo mkuu wa upelelezi wilaya Kibiti mkoani Pwani Read more about Mkuu wa upelelezi auawa kwa risasi