Waliotinga sita bora ligi ya wanawake hawa hapa

Timu za soka za wanawake nchini zikichuana katika ligi hiyo hatua za awali.

Timu tano zimefuzu hatua ya sita bora ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara baada ya hatua ya makundi, wakati mechi za mwisho zitaamua timu ya mwisho ya kukamilisha hatua hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS