Mbaraka Yusuph aandika historia Taifa Stars
Mshambuliaji chipukizi kutoka klabu ya Kagera Sugar inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Mbaraka Yusuph hii leo amejiwekea rekodi ya kipekee mara baada ya kuifungia bao la ushindi Taifa Stars iliyokuwa inakipiga na timu ya taifa ya Burundi

