Mbunge Pangani 'aipiga tafu' serikali kero ya maji
Wakazi wa Pangani huenda wakaondokana na kero ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya kupokea mashine maalum ya kuchimba visima kutoka kwa wahisani kwa jitihada za Mbunge wa jimbo hilo, Mh. Jumaa Aweso.