Kitila, Semakafu wala kiapo mbele ya JPM

Rais John Pombe Magufuli akimwapisha Prof. Kitilia Alexander Mkumbo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha viongozi aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS