Yanga waandaliwa mapokezi ya kihistoria

Kikosi cha Yanga kilichoanza katika mchezo dhidi ya Ngaya huko Comoro Jumapili.

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya soka ya Yanga wanatarajia kurejea nchini mapema kesho wakitokea nchini Comoro ambako walikwenda kucheza mchezo wa awali dhidi ya wenyeji wao Ngaya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS