Bila wanawake hakuna maendeleo - Balozi Cooke

Sarah Cooke, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

Wanawake wametajwa kuwa kundi muhimu katika harakati za kukuza uchumi na kupunguza umaskini katika jamii, kutokana na namna wanavyoshiriki kwa wingi katika shughuli mbali mbali za ujasiriamali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS