Man United yapelekwa Urusi, Samatta abaki Ubelgiji Klabu ya Manchester United imepangwa na FC Rostov ya Urusi kwenye hatua ya 16 bora ya michuano midogo ya Ulaya, Europa League. Read more about Man United yapelekwa Urusi, Samatta abaki Ubelgiji