Shamsa amtaja muigizaji anayegusa hisia zake
Msanii Shamsa Ford ameweka wazi hisia za moyo wake kwa Gabo Zigamba kuwa ndiyo mwanaume pekee anayemkubali pindi wanapokuwa pamoja katika kazi za filamu na kuhisi kila wanachokifanya ni ukweli na uhalisia.