Manara marufuku kujihusisha na soka kwa mwaka 1!

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia Haji Manara (Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba) kutojihusisha na masuala ya soka kwa mwaka mmoja na pia anatakiwa kulipa faini ya Shilingi Milioni tisa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS