Gabo awapa makavu 'ma-director' wasio na uwezo Gabo Zigamba Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Gabo Zigamba amewataka waongozaji filamu Tanzania (Directors) kutojihusisha na kazi za kuongoza filamu kama hawana vipaji pamoja na taaluma hiyo. Read more about Gabo awapa makavu 'ma-director' wasio na uwezo