Azam FC waaga mashindano Azam Vs Mbabane Swallows, Chamazi DSM. Klabu ya Azam ya Jijini Dar es Salaam, imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Mbabane Swallows ya Swaziland. Read more about Azam FC waaga mashindano