Arsenal yaweka rekodi kuwa na majeruhi wengi EPL
Klabu ya Arsenal imefikisha idadi ya majeruhi 100 tofautitouti na kuweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kwenye ligi kuu ya England kuwa na idadi kubwa ya majeruhi huku majeraha ya goti yakishika namba moja kati ya majeraha yanayowaweka nje wachezaji kwa muda mrefu .

